Wednesday, January 28, 2009

THE BLACK GHOST (MZIMU MWEUSI)









Ni filamu ya kusisimua,Kuhuzunisha,kufurahisha,Kuelimisha,na itakayo kufanya uzidi kupenda filamu za kibongo.
Filamu hii imetengenezwa na SUNRISE HOUSE OF PRODUCTION (SHP)

Monday, December 22, 2008

KAZI TUZIFANYAZO

Sunrise House of Production (SHP) tunafanya kazi zifuatazo:-
  • Kutengeneza filamu za kibongo
  • Tunatoa huduma ya kutengeneza video za Matamasha na Sherehe mbali mbali

Kati ya kazi ambazo tumekwisha zifanya, na nyingine zipo jikoni ni:-

  • The Black ghost film (filamu ya Mzimu mweusi, ambayo tayari imeshakamilika)
  • Stephano (bado ipo jikoni kwenye hatua ya mwisho)
  • Umabo (ipo kwenye hatua za awali,inafanyiwa shooting)

Wasiliana nasi kupitia

Phone no:- 0712 155917

0712155917

Box no:- 22749

Email:- zabbyboy@gmail.com

zabbyboy@yahoo.com

Website:- sunrisehouseofproduction.com