Monday, December 22, 2008

KAZI TUZIFANYAZO

Sunrise House of Production (SHP) tunafanya kazi zifuatazo:-
  • Kutengeneza filamu za kibongo
  • Tunatoa huduma ya kutengeneza video za Matamasha na Sherehe mbali mbali

Kati ya kazi ambazo tumekwisha zifanya, na nyingine zipo jikoni ni:-

  • The Black ghost film (filamu ya Mzimu mweusi, ambayo tayari imeshakamilika)
  • Stephano (bado ipo jikoni kwenye hatua ya mwisho)
  • Umabo (ipo kwenye hatua za awali,inafanyiwa shooting)

Wasiliana nasi kupitia

Phone no:- 0712 155917

0712155917

Box no:- 22749

Email:- zabbyboy@gmail.com

zabbyboy@yahoo.com

Website:- sunrisehouseofproduction.com